ONYESHA Vitabu vya Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Rutu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Yobu Zaburi Mezali Muhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Matayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorinto 2 Wakorinto Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Watesalonike 2 Watesalonike 1 Timoteo 2 Timoteo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 Habari Zenye Kuwa Ndani 1 Kuanzia Adamu mupaka Abrahamu (1-27) Wazao wa Abrahamu (28-37) Waedomu na wafalme wao na mashehe wao (38-54) 2 Wana kumi na mbili wa Israeli (1, 2) Wazao wa Yuda (3-55) 3 Wazao wa Daudi (1-9) Ukoo wa kifalme wa Daudi (10-24) 4 Wazao wengine wa Yuda (1-23) Yabesi na sala yake (9, 10) Wazao wa Simeoni (24-43) 5 Wazao wa Rubeni (1-10) Wazao wa Gadi (11-17) Wahagri wanashindwa (18-22) Nusu ya kabila la Manase (23-26) 6 Wazao wa Lawi (1-30) Waimbaji wa hekalu (31-47) Wazao wa Haruni (48-53) Makao ya Walawi (54-81) 7 Wazao wa Isakari (1-5), wa Benyamini (6-12), wa Naftali (13), wa Manase (14-19), wa Efraimu (20-29), na wa Asheri (30-40) 8 Wazao wa Benyamini (1-40) Ukoo wa Sauli (33-40) 9 Ukoo kisha kurudia kutoka katika uhamisho (1-34) Ukoo wa Sauli unatajwa tena (35-44) 10 Kifo cha Sauli na wana wake (1-14) 11 Israeli wote wanamutia Daudi mafuta ili akuwe mufalme (1-3) Daudi anakamata Sayuni (4-9) Wapiganaji-vita wenye nguvu wa Daudi (10-47) 12 Wenye waliunga mukono ufalme wa Daudi (1-40) 13 Sanduku linaletwa kutoka Kiriat-yearimu (1-14) Uza anapigwa na kufa (9, 10) 14 Daudi anawekwa kuwa mufalme (1, 2) Familia ya Daudi (3-7) Wafilisti wanashindwa (8-17) 15 Walawi wanabeba Sanduku mupaka Yerusalemu (1-29) Mikali anamuzarau Daudi (29) 16 Sanduku linawekwa katika hema (1-6) Wimbo wa shukrani wa Daudi (7-36) “Yehova amekuwa Mufalme!” (31) Utumishi mbele ya Sanduku (37-43) 17 Daudi hatajenga hekalu (1-6) Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (7-15) Sala ya Daudi ya shukrani (16-27) 18 Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-13) Usimamizi wa Daudi (14-17) 19 Waamoni wanatendea mubaya wajumbe wa Daudi (1-5) Ushindi juu ya Amoni na Siria (6-19) 20 Raba inakamatwa (1-3) Wafilisti wenye ukubwa wa ajabu wanauawa (4-8) 21 Daudi anahesabia watu bila ruhusa (1-6) Azabu kutoka kwa Yehova (7-17) Daudi anajenga mazabahu (18-30) 22 Daudi anafanya matayarisho kwa ajili ya hekalu (1-5) Daudi anamupatia Sulemani maagizo (6-16) Wakubwa wanapewa amri wamusaidie Sulemani (17-19) 23 Daudi anapanga Walawi (1-32) Haruni na wana wake wanawekwa pembeni (13) 24 Daudi anapanga makuhani katika vikundi makumi mbili na ine (1-19) Kazi zingine za Walawi (20-31) 25 Wapiga-muziki na waimbaji kwa ajili ya nyumba ya Mungu (1-31) 26 Vikundi vya walinzi wa milango mikubwa (1-19) Waweka-hazina na maofisa wengine (20-32) 27 Maofisa katika kazi ya mufalme (1-34) 28 Hotuba ya Daudi juu ya ujenzi wa hekalu (1-8) Maagizo kwa Sulemani; plani ya ujenzi inatolewa (9-21) 29 Michango kwa ajili ya hekalu (1-9) Sala ya Daudi (10-19) Watu wanafurahi; ufalme wa Sulemani (20-25) Kifo cha Daudi (26-30) YENYE KUTANGULIA ENDELEA CHAPA TUMIA WENGINE TUMIA WENGINE 1 Mambo ya Nyakati—Habari Zenye Kuwa Ndani BIBLIA—TAFSIRI YA ULIMWENGU MUPYA (YENYE ILIREKEBISHWA YA 2018) 1 Mambo ya Nyakati—Habari Zenye Kuwa Ndani Kiswahili (Congo) 1 Mambo ya Nyakati—Habari Zenye Kuwa Ndani https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt 1 Nyakati uku. 650-651