Miradi ya Ujenzi
MIRADI YA UJENZI
Awamu ya 9 ya Picha za Uingereza (Septemba 2019 Hadi Februari 2020)
Ona jinsi ujenzi ulivyokamilishwa na jinsi Wanabetheli wamekuwa wakitumia ofisi hii.
MIRADI YA UJENZI
Awamu ya 9 ya Picha za Uingereza (Septemba 2019 Hadi Februari 2020)
Ona jinsi ujenzi ulivyokamilishwa na jinsi Wanabetheli wamekuwa wakitumia ofisi hii.
Awamu ya 8 ya Picha za Uingereza (Machi Hadi Agosti 2019)
Wafanyakazi wakiremba majengo kwa kutumia mchanganyiko maalum katika hatua za kumalizia ujenzi katika majengo ya makazi, ofisi, na uzalishaji. Wafanyakazi wa bustani na eneo la ujenzi wakiendelea kuandaa eneo lote la ofisi.
Kufanya Kazi na Mashahidi wa Yehova
Jifunze hali inakuwaje unapofanya kazi pamoja na Mashahidi wa Yehova katika miradi mikubwa ya ujenzi.
Awamu ya 7 ya Picha za Uingereza (Septemba 2018 Hadi Februari 2019)
Ona jinsi ujenzi wa ofisi ya tawi ya Mashahidi wa Yehova unavyoendelea huko Chelmsford, Uingereza.
Awamu ya 6 ya Picha za Uingereza (Machi Hadi Agosti 2018)
Ona picha za karibuni za ujenzi wa ofisi ya tawi ya Uingereza.
Awamu ya 5 ya Picha za Uingereza (Septemba 2017 Hadi Februari 2018)
Watu wanaishi katika majengo mawili kati ya sita. Angalia mambo mengine waliyotimiza.
Awamu ya 4 ya Picha za Ujenzi, Uingereza (Machi Hadi Agosti 2017)
Kazi ya kujenga ofisi mpya na makazi nchini Uingereza imesonga sana.
“Wanawake Wanatimiza Mengi Sana Katika Ujenzi”
Huenda ukashangaa kujua ni kazi gani ambazo wanafanya kwa ustadi.
Awamu ya 2 ya Picha za Ujenzi za Filipino (Juni 2015 Hadi Juni 2016)
Mashahidi wa Yehova nchini Filipino wamemaliza kazi kubwa ya kukarabati ofisi yao ya tawi iliyoko Quezon City. Ona jinsi kazi hiyo ilivyofanywa.
Awamu ya 3 ya Picha za Uingereza (Septemba 2016 Hadi Februari 2017)
Kazi ya ujenzi wa ofisi ya tawi ya Uingereza inasonga vizuri.
Awamu ya 7 ya Picha za Warwick (Septemba 2016 Hadi Februari 2017)
Majengo yote katika eneo la Warwick sasa yanatumika. Watu zaidi ya 250 walifanya kazi katika Jengo la Ofisi na Huduma Mbalimbali ili kutayarisha sehemu tatu za maonyesho tangu mwanzo hadi mwisho.
Awamu ya 2 ya Picha za Uingereza (Septemba 2015 hadi Agosti 2016)
Wajitoleaji Mashahidi wa Yehova na wanakandarasi waanza kutayarisha eneo kwa ajili ya ujenzi mkubwa wa ofisi ya tawi na ujenzi wa eneo litakalowasaidia wajenzi wanapofanya kazi yao.
Awamu ya 2 ya Picha za Wallkill (Novemba 2014 Hadi Novemba 2015)
Mashahidi wa Yehova walipanua na kuboresha majengo yao ya Wallkill, New York. Sehemu kubwa ya kazi hiyo ilikuwa imekamilika kufikia Novemba 30, 2015.
Kulinda Wanyama Katika Eneo la Chelmsford
Mashahidi wa Yehova nchini Uingereza wameanza kujenga ofisi yao mpya ya tawi karibu na Chelmsford. Wanafanya nini ili kuwalinda wanyama?
Awamu ya 6 ya Picha za Warwick (Machi hadi Agosti 2016)
Miezi ya mwisho ya ujenzi wa makao makuu mapya ya ulimwenguni pote ya Mashahidi wa Yehova yaliyoko Warwick, New York.
Barua Kutoka kwa Wenye-Nyumba
Wamiliki fulani wa nyumba walikuwa na maoni gani kuhusu kukodisha nyumba zao kwa Mashahidi wa Yehova?
Majirani Wapya Kule Warwick
Wakazi wa eneo la Warwick, New York, wanaeleza mambo ambayo wamejionea walipofanya kazi na Mashahidi wa Yehova wakati wa ujenzi wa makao yao makuu ya ulimwenguni pote.
Awamu ya 5 ya Picha za Warwick (Septemba 2015 Hadi Februari 2016)
Kazi ndani na nje ya Jengo la Ofisi na Huduma Mbalimbali zilitia ndani kuwekwa kwa taa za LED , madirisha ya kuingiza mwangaza wa asili, matofali ya barabarani, na ujenzi wa njia iliyofunikwa.
Kufanya Kazi Pamoja na Mashahidi wa Yehova Katika Ujenzi wa Warwick
Baadhi mafundi na madereva wa mabasi ambao si Mashahidi walikuwa na mambo gani ya kusema kuhusu kufanya kazi katika mradi wa ujenzi wa Mashahidi wa Yehova?
Majumba ya Ufalme Yajengwa kwa Ajili ya Mashahidi Milioni Moja
Tangu 1999, zaidi ya Majumba ya Ufalme 5,000 ya Mashahidi wa Yehova yamejengwa nchini Mexico na katika nchi saba za Amerika ya Kati. Kwa nini wale ambao si Mashahidi wa Yehova wanafurahi kuona Majumba mapya ya Ufalme katika maeneo yao?
Awamu ya 1 ya Picha za Ujenzi, Uingereza (Januari Hadi Agosti 2015)
Angalia maendeleo yaliyofanywa katika mradi wa kujenga ofisi ya tawi nchini Uingereza karibu na jiji la Chelmsford, Essex.
Awamu ya 4 ya Picha za Warwick (Mei Hadi Agosti 2015)
Kazi ya kuweka kuta na paa katika jengo la makazi imekamilika, madaraja ya wanaotembea kwa miguu kati ya majengo mbalimbali tayari yamewekwa, na baada ya hapo wafanyakazi walianza kazi ya kutengeneza mandhari.
Awamu ya 1 ya Picha za Ujenzi Nchini Filipino (Februari 2014 Hadi Mei 2015)
Mashahidi wa Yehova wanajenga majengo mapya na kurekebisha majengo ya zamani ya ofisi ya tawi ya Filipino yaliyopo Quezon City.
Awamu ya 3 ya Picha za Warwick (Januari Hadi Aprili 2015)
Kufikia Februari, watu 2,500 walifanya kazi kila siku katika mradi wa ujenzi wa Warwick, na wajitoleaji 500 hivi wa muda waliwasili kila juma. Jionee maendeleo ya ujenzi huo.
Awamu ya 2 ya Picha za Warwick (Septemba Hadi Desemba 2014)
Ujenzi wa makao makuu mapya ya Mashahidi wa Yehova unaendelea. Katika pindi fulani, kreni 13 zilitumika kwa wakati mmoja!
Awamu ya 1 ya Picha za Wallkill (Julai 2013 Hadi Oktoba 2014)
Ona maendeleo ya ujenzi kwenye mradi wa Mashahidi wa Yehova ulioko katika tawi la Wallkill, New York, Marekani
Majumba 3,000 ya Ufalme Yajengwa Nchini Nigeria
Mkutano wa pekee ulifanywa ili kuadhimisha hatua muhimu katika historia ya ujenzi wa Majumba ya Ufalme nchini Nigeria. Historia fupi ya kazi ya Mashahidi wa Yehova tangu miaka ya 1920 ilizungumziwa.
Awamu ya 1 ya Picha za Warwick (Mei Hadi Agosti 2014)
Tazama jinsi kazi ya ujenzi katika Jengo la Udumishaji wa Magari, Jengo la Ofisi za Usimamizi/Huduma, Majengo ya Makazi C na D.
Jumba Jipya la Kusanyiko Katikati ya Msitu wa Amazon
Ili kuhudhuria makusanyiko katika Jumba la Kusanyiko, baadhi ya Mashahidi wa Yehova watasafiri kwa mashua kwa siku tatu!
Mashahidi wa Yehova—Kujenga Bila Mipaka
Watu wa Yehova wenye umoja wameshinda mipaka ya kitaifa, utamaduni na lugha ili kujenga Majumba ya Ufalme na majengo mengine, kwa lengo la kumsifu Yehova.
Ripoti ya 2 Kuhusu Warwick
Wajitoleaji kutoka sehemu mbalimbali wakifanya kazi pamoja ya kujenga makao makuu mapya ya ulimwenguni pote ya Mashahidi wa Yehova.
Kujenga Majumba ya Ufalme Katika Maeneo ya Mbali
Ona jinsi vikundi vitano vya wajitoleaji vilivyojenga Majumba mawili ya Ufalme katika siku 28.
Majumba ya Ufalme Elfu Moja—Na Kazi Haijakwisha
Mashahidi wa Yehova nchini Filipino wamefikia hatua kubwa katika historia kupitia mpango wao wa pekee wa ujenzi wa Majumba ya Ufalme.
Kulinda Wanyama Pori na Mazingira Katika Eneo la Warwick
Mashahidi wa Yehova wameanza kujenga makao yao makuu mapya ya ulimwenguni pote katika eneo la mashambani la Jimbo la New York. Wanalindaje mazingira?
Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulimwenguni Pote—Tukio la Kihistoria
Mashahidi wa Yehova wanajenga makao yao makuu huko Warwick, New York. Wana uhakika kabisa kwamba ni mapenzi ya Mungu wasonge mbele na kuukamilisha ujenzi huo wa kihistoria.
Wajitoleaji Waanza Ujenzi Tuxedo
Mashahidi wa Yehova kutoka Marekani na sehemu nyinginezo wanajitolea kufanya ujenzi huko Tuxedo, New York. Kwa nini?
Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick
Ujenzi wa makao makuu ya ulimwenguni pote ya Mashahidi wa Yehova ungali unaendelea huko Warwick, New York. Baadhi ya Mashahidi waliojitolea wanaeleza kuhusu mradi huo.
Wanaomba Kazi Lakini Si Malipo
Kwa zaidi ya miaka 28 iliyopita, Mashahidi wa Yehova wamejenga majengo katika nchi 120, wamejitolea kutumia ufundi, na muda wao bila malipo. Soma habari zaidi kuhusiana na mpango huu wa pekee sana wa ujenzi.
Maendeleo ya Upanuzi wa Majengo ya Wallkill
Angalia video fupi inayoonyesha jinsi mambo yalivyo sasa kuhusiana na upanuzi wa majengo ya Wallkill.
Miradi ya Wallkill na Warwick Inaendelea Kutekelezwa
Miradi miwili muhimu ya ujenzi ya Mashahidi wa Yehova nchini Marekani inaendelea kutekelezwa, tunawashukuru sana wajitoleaji ambao wanatoka maeneo mbalimbali nchini Marekani.
Mkaguzi wa Usalama Awapongeza Mashahidi
Nchini Australia, Mashahidi wa Yehova walipongezwa kwa kuwa na viwango vya juu vya usalama.
Video Fupi: Mikakati ya Kuhamisha Makao Makuu ya Mashahidi wa Yehova
Ona eneo lililo kaskazini mwa New York ambapo tunapanga kuhamishia makao yetu makuu.
Makao Makuu ya Mashahidi wa Yehova Kuhamishwa
Baada ya kuwa Brooklyn, New York, tangu 1909, kwa nini tunahamia kaskazini mwa New York?