Taarifa Fupi—Visiwa vya Virgin, Marekani
- 104,000—Idadi
- 536—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 8—Makutaniko
- 1 kwa 205—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada
Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.