Taarifa Fupi—Papua New Guinea
- 9,466,000—Idadi
- 5,692—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 89—Makutaniko
- 1 kwa 1,999—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Yatolewa Katika Kihiri Motu
HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE
Lightbearer Yapeleka Nuru ya Kiroho Kusini Mashariki Mwa Bara la Asia
Licha ya upinzani, kikundi kidogo cha wasafiri wa Lightbearer kilisambaza kwa ujasiri nuru ya kweli za Biblia katika eneo kubwa na lenye watu wengi.