Taarifa Fupi—Ethiopia
- 123,771,000—Idadi
- 11,512—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 206—Makutaniko
- 1 kwa 11,053—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Kitabu cha Mathayo Kimetolewa Katika Kisidama na Kiwolaita
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Baraka za Yehova Zilipita Matarajio Yangu Yote
Mambo ambayo ndugu Manfred Tonak alijionea alipokuwa mmishonari Afrika yamemsaidia kusitawisha sifa ya subira, kuridhika, na sifa nyingine nyingi nzuri.