Tenga Wakati kwa Ajili ya Yehova
Tenga Wakati kwa Ajili ya Yehova
Pakua:
1. Sina muda
Kuna mengi ya kufanya,
Ni ngumu kutua na kusali.
Lakini kwetu muhimu ni . . .
(KORASI)
Mpe Mungu muda.
Maishani mwako.
Ulimwengu usikuzuie.
Mpe Mungu muda.
2. Rafiki
Hujengana moyoni.
Tunawezaje kuimarisha?
Twawezaje kujua
Kwa hiyo . . .
(KORASI)
Mpe Mungu muda.
Maishani mwako.
Ulimwengu usikuzuie.
Mpe Mungu muda
(DARAJA)
Muda
Uone nguvu zake.
Muda
Tujione Paradiso.
Na usikengeuke.
Muda.
Muda.
Umpe.
(KORASI)
Mpe Mungu muda.
Maishani mwako.
Ulimwengu usikuzuie.
Mpe Mungu muda.
Muda.
Muda.
Muda.
Muda.
Muda.
Muda.
Muda.
Muda.