Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Jinsi ya Kutafuta Maandiko Katika Biblia Yako

Jinsi ya Kutafuta Maandiko Katika Biblia Yako

Orodha ya Vitabu vya Biblia a

Jina la Kitabu

Mwandikaji

Uandikaji Ulikamilishwa

Mwanzo

Musa

1513 K.W.K.

Kutoka

Musa

1512 K.W.K.

Mambo ya Walawi

Musa

1512 K.W.K.

Hesabu

Musa

1473 K.W.K.

Kumbukumbu la Torati

Musa

1473 K.W.K.

Yoshua

Yoshua

m. 1450 K.W.K.

Waamuzi

Samweli

m. 1100 K.W.K.

Ruthu

Samweli

m. 1090 K.W.K.

1 Samweli

Samweli; Gadi; Nathani

m. 1078 K.W.K.

2 Samweli

Gadi; Nathani

m. 1040 K.W.K.

1 Wafalme

Yeremia

580 K.W.K.

2 Wafalme

Yeremia

580 K.W.K.

1 Mambo ya Nyakati

Ezra

m. 460 K.W.K.

2 Mambo ya Nyakati

Ezra

m. 460 K.W.K.

Ezra

Ezra

m. 460 K.W.K.

Nehemia

Nehemia

b. 443 K.W.K.

Esta

Mordekai

m. 475 K.W.K.

Ayubu

Musa

m. 1473 K.W.K.

Zaburi

Daudi na wengine

m. 460 K.W.K.

Methali

Sulemani; Aguri; Lemueli

m. 717 K.W.K.

Mhubiri

Sulemani

k. 1000 K.W.K.

Wimbo wa Sulemani

Sulemani

m. 1020 K.W.K.

Isaya

Isaya

b. 732 K.W.K.

Yeremia

Yeremia

580 K.W.K.

Maombolezo

Yeremia

607 K.W.K.

Ezekieli

Ezekieli

m. 591 K.W.K.

Danieli

Danieli

m. 536 K.W.K.

Hosea

Hosea

b. 745 K.W.K.

Yoeli

Yoeli

m. 820 K.W.K. (?)

Amosi

Amosi

m. 804 K.W.K.

Obadia

Obadia

m. 607 K.W.K.

Yona

Yona

m. 844 K.W.K.

Mika

Mika

k. 717 K.W.K.

Nahumu

Nahumu

k. 632 K.W.K.

Habakuki

Habakuki

m. 628 K.W.K. (?)

Sefania

Sefania

k. 648 K.W.K.

Hagai

Hagai

520 K.W.K.

Zekaria

Zekaria

518 K.W.K.

Malaki

Malaki

b. 443 K.W.K.

Mathayo

Mathayo

m. 41 W.K.

Marko

Marko

m. 60-​65 W.K.

Luka

Luka

m. 56-​58 W.K.

Yohana

Mtume Yohana

m. 98 W.K.

Matendo

Luka

m. 61 W.K.

Waroma

Paulo

m. 56 W.K.

1 Wakorintho

Paulo

m. 55 W.K.

2 Wakorintho

Paulo

m. 55 W.K.

Wagalatia

Paulo

m. 50-​52 W.K.

Waefeso

Paulo

m. 60-​61 W.K.

Wafilipi

Paulo

m. 60-​61 W.K.

Wakolosai

Paulo

m. 60-​61 W.K.

1 Wathesalonike

Paulo

m. 50 W.K.

2 Wathesalonike

Paulo

m. 51 W.K.

1 Timotheo

Paulo

m. 61-​64 W.K.

2 Timotheo

Paulo

m. 65 W.K.

Tito

Paulo

m. 61-​64 W.K.

Filemoni

Paulo

m. 60-​61 W.K.

Waebrania

Paulo

m. 61 W.K.

Yakobo

Yakobo (ndugu ya Yesu)

k. 62 W.K.

1 Petro

Petro

m. 62-​64 W.K.

2 Petro

Petro

m. 64 W.K.

1 Yohana

Mtume Yohana

m. 98 W.K.

2 Yohana

Mtume Yohana

m. 98 W.K.

3 Yohana

Mtume Yohana

m. 98 W.K.

Yuda

Yuda (ndugu ya Yesu)

m. 65 W.K.

Ufunuo

Mtume Yohana

m. 96 W.K.

Taarifa: Majina ya waandikaji wa vitabu fulani na ya tarehe zilipoandikwa hazijulikani kwa uhakika. Tarehe nyingi zimekadiriwa tu, herufi b. inamaanisha “baada ya,” k. inamaanisha “kabla ya,” na m. inamaanisha “mnamo,” au “karibu.”

a Orodha hii inaonyesha vile vitabu 66 vya Biblia kulingana na mpangilio unaopatikana katika tafsiri nyingi za Biblia. Mpangilio huo ulianzishwa katika karne ya nne W.K.