AMKENI! Mei 2015 | Tumaini kwa Watu Maskini na Wasio na Makao
Biblia haionyeshi tu jinsi watu maskini na wasio na makao wanavyoweza kusaidia sasa bali pia inatabiri wakati ambapo umaskini na ukosefu wa makao hautakuwapo.
KUUTAZAMA ULIMWENGU
Kuimulika Asia
Ni changamoto gani zinazokabili nchi za bara la Asia katika kuelimisha na kulinda raia zao? Je, hekima ya Biblia inaweza kusaidia?
HABARI KUU
Tumaini kwa Watu Maskini na Wasio na Makao
Mapendekezo yenye kufaa kutoka katika Biblia yanaweza kuboresha hali yako ya kiuchumi na kihisia.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Kuwafundisha Watoto Kutii
Je, wewe na mwana wako mnagombana na inaonekana kwamba sikuzote mtoto wako hushinda? Mambo matano yanaweza kukusaidia kulea watoto wako.
“Mungu Anatusaidia Kukabiliana na Hali”
Watu watatu waliotekwa katika shambulizi la shule la mwaka wa 2004 kwenye mji wa Beslan, wanasimulia jinsi walivyoweza kukabiliana na kumbukumbu ya shambulizi hilo.
TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA
Al-Khwarizmi
Mwanamume huyo Mwarabu, amesifiwa kwa kuanzisha “Njia muhimu sana ya hesabu iliyobuniwa.”
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Kiungo cha Ngisi wa Hawaii Kinachotoa Mwangaza
Mnyama huyo hutokeza mwangaza ili asionekane.
Habari Zaidi Mtandaoni
Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme?
Jionee mwenyewe mambo ambayo hutendeka ndani ya Jumba la Ufalme.
Sema Tafadhali na Asante
Caleb anajifunza kwa nini maneno hayo ni muhimu sana.