AMKENI! Julai 2014 | Jinsi ya Kukabiliana na Majanga
Unapopatwa na majanga, unapaswa kufanya nini?
Kuutazama Ulimwengu
Habari zinatia ndani: nchi ambayo idadi ya wanawake wanaokunywa pombe kupita kiasi inazidi ile ya wanaume, viumbe walio katika eneo la kushangaza, na nchi iliyowalipa raia zake dhahabu ili wapunguze uzito.
HABARI KUU
Kupoteza Mali
Kei alipoteza kila kitu katika tsunami iliyotokea huko Japani mwaka 2011. Alipata msaada kutoka kwa marafiki na mashirika ya kutoa misaada, lakini kusoma Biblia kulimsaidia zaidi.
HABARI KUU
Ugonjwa Hatari
Mabel alikuwa mtaalamu wa matibabu ya viungo vya mwili. Baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa ubongo, alikabili changamoto kama za wagonjwa aliowahudumia.
HABARI KUU
Kufiwa na Mpendwa Wako
Watu watano wa familia ya Ronaldo walikufa katika aksidenti ya barabarani miaka 16 iliyopita. Ingawa bado anahisi pengo kubwa, amefaulu kuwa na amani moyoni.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Kupokea au Kutuma Ujumbe kwa Adabu
Je, ni kukosa adabu kukatisha mazungumzo ili usome ujumbe wa simu? Au je, ni vibaya kupuuza ujumbe wa simu ili uendelee na mazungumzo?
MAHOJIANO
Mwanafizikia Aeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Mambo mawili muhimu ya asili yalimsadikisha Wenlong He kwamba kuna Muumba.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Mfumo wa Uzazi wa Chura Anayeangua Tumboni
Kwa nini mwanamageuzi fulani alisema kwamba ni jambo lisilowezekana kwa chura huyo kubadili mfumo wake wa uzazi hatua kwa hatua?
Habari Zaidi Mtandaoni
Nitawaelezaje Wengine Msimamo Wangu Kuhusu Ngono?
Ukiulizwa, ‘Wewe bado ni bikira?’ je, unaweza kueleza msimamo wako kuhusu ngono kwa kutumia Biblia?
Nifanye Nini Ikiwa Watu Wanaeneza Porojo Kunihusu?
Unaweza kufanya nini wengine wanapoeneza porojo kukuhusu ili porojo hiyo isikudhibiti au hata kukuchafulia jina?
Ninawezaje Kuacha Kuahirisha Mambo?
Pata madokezo ya jinsi unavyoweza kuacha kuahirisha mambo!
Vijana Wanazungumza Kuhusu Pesa
Pata madokezo yanayohusu jinsi ya kuhifadhi, kutumia, na kuwa na maoni yanayofaa kuhusu pesa.
Mtoto Musa Apatikana
Ni nani walio katika picha hii? Soma hadithi ya Biblia iliyo katika Kutoka sura ya 2 ili upate jibu.