AMKENI! Septemba 2013 | Ukweli Kuhusu Halloween

Watu wengi husherehekea sikukuu ya Halloween bila kujua chanzo chake. Soma uone ni kwa nini unapaswa kujihadhari.

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: Kiwango cha barafu ya Aktiki, uwindaji haramu wa pembe za tembo huko Kongo, kupotea kwa marijani katika Tumbawe Kubwa la Australia, na bakteria katika maziwa ya mama.

MAONI YA BIBLIA

Ngono Kabla ya Ndoa

Soma kuhusu yale ambayo Biblia inasema kuhusu ngono kabla ya ndoa na mahusiano mengine ya kingono.

HABARI KUU

Ukweli Kuhusu Halloween

Pata kujua mahali pasipofaa ambapo Halloween na sikukuu nyingine zinazofanana na hiyo zilipotoka.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kusamehe

Kwa nini inaweza kuwa vigumu sana kusamehe? Ona jinsi shauri la Biblia linavyoweza kusaidia.

MAHOJIANO

Mtaalamu wa Figo Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu

Kwa nini daktari ambaye hakuamini kuna Mungu alianza kuchunguza kumhusu Mungu na kusudi la uhai? Ni nini kilichomfanya abadili maoni yake kuhusu mambo hayo?

TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA

Zheng He

Zheng He alikuwa nani? Soma kuhusu safari zake kubwa na mambo tunayojifunza kuhusu China.

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Manyoya ya Pengwini Anayeitwa Emperor

Wataalamu wa viumbe wa majini wamegundua nini kuhusu manyoya ya ndege huyu?

Habari Zaidi Mtandaoni

Nifanye Nini Nikisumbuliwa Kingono?

Jifunze kusumbuliwa kingono kunahusisha nini na jambo unalopaswa kufanya ikiwa umesumbuliwa.

Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mfupi?

Kutuma ujumbe mfupi kunaweza kuathiri urafiki wako pamoja na wengine na sifa yako. Ona hilo linawezakanaje.

Nifanye Nini Ikiwa Nina Tatizo la Afya? (Sehemu ya 1)

Vijana wanne wanaeleza kinachowasaidia kukabiliana na matatizo yao ya afya na kudumisha mtazamo unaofaa.

Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi

Jifunze kwa nini watu huwanyanyasa wengine na jinsi ya kushughulika nao kwa mafanikio.

Yosefu Katika Nchi ya Misri

Unaweza kumfurahisha Mungu jinsi gani hata wakati hakuna mtu anayekuona? Soma hadithi hii ya Biblia na ujifunze kutoka kwa mfano wa Yosefu.