Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Fahirisi Ya Amkeni! Kwa Mwaka Wa 2012

Fahirisi Ya Amkeni! Kwa Mwaka Wa 2012

AFYA NA TIBA

  • Chakula Hakikudhuru, 6/12

  • Jongo, 8/12

  • Tambuu, 2/12

  • Ugonjwa wa Wasiwasi Kupita Kiasi, 3/12

  • Vijana Kunenepa Kupita Kiasi, 10/12

  • Wataalamu wa Tiba wa Enzi za Kati, 9/12

DINI

  • Biblia​—Kitabu cha Unabii Sahihi, 5/12, 6/12, 7/12, 8/12, 9/12, 10/12, 11/12, 12/12

  • Siri ya Kuielewa Biblia, 11/12

MAHUSIANO YA WANADAMU

  • Familia za Kambo, 4/12

  • Habari Zenye Kuogopesha Zinawaathiri Watoto Wako? 10/12

  • Hasira 3/12

  • Kumbuka Kusema Asante! 7/12

  • Kutimiza Jukumu Lako Ukiwa Mzazi, 10/12

  • Kuwasaidia Watoto Wanaoomboleza, 7/12

  • Kuwasaidia Wenye Ugonjwa wa Wasiwasi Kupita Kiasi, 3/12

  • Subira, 12/12

  • Unapohisi Hutaki Kuendelea Kuishi, 1/12

  • Vituo vya Mawasiliano, 2/12

  • Wazazi Wasio na Wenzi, 11/12

MAMBO MENGINE

  • Kamusi Iliyochukua Miaka 90 Kukamilishwa, 12/12

  • Kufanikiwa Shuleni, 10/12

  • Kuiba Mtihani, 8/12

  • Mwisho wa Dunia, 9/12

  • Titanic (Meli), 4/12

  • Tumia Jicho kwa Hekima, 2/12

MAONI YA BIBLIA

  • Kuna Sababu Zinazotetea Ushoga? 1/12

  • Kuonyesha Mali Yako, 11/12

  • Kwa Nini Uwapongeze Wengine? 4/12

  • “Kweli Itawaweka Ninyi Huru”—Jinsi Gani? 5/12

  • Lazima Uende Kwenye Jengo la Ibada ili Usali? 8/12

  • Lazima Uwe Mshiriki wa Dini Fulani? 9/12

  • Maisha Yako Yanaongozwa na Nyota? 10/12

  • Mungu Anatumia Misiba Kuadhibu? 12/12

  • Ni Nani Anayeweza Kuubadili Ulimwengu? 7/12

  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani? 2/12

  • Unawezaje Kufanya Amani? 3/12

  • Wafu Wanaweza Kuwasaidia Walio Hai? 6/12

MASHAHIDI WA YEHOVA

  • Kitabu Vijana Huuliza, Buku la 1, 6/12

  • Maendeleo Makubwa Malawi, 5/12

  • Makusanyiko ya Wilaya ya “Linda Moyo Wako!” 5/12

  • Matibabu Mengine Badala ya Kutia Damu Mishipani (Urusi), 9/12

  • Toleo Lijalo la Amkeni! 12/12

MASIMULIZI YA MAISHA

  1. Hawakuchoka Kunisaidia (K. Lyons), 11/12

  2. Nilipata Upendo na Amani (E. Nahakbria), 6/12

  3. Nilipenda Jeuri (S. Garza), 8/12

  4. Sikuchelewa Mno Kuwa Rafiki ya Mungu (O. Mattila), 1/12

MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU

  • Jeuri, 8/12

  • Kilio cha Haki, 5/12

  • Mashambulizi Kupitia Kompyuta! 5/12

  • Ulimwengu Utawahi Kubadilika? 7/12

  • Upunjaji Katika Intaneti, 1/12

MAZUNGUMZO YA FAMILIA

    • 1/12 1, 2/12, 3/12, 4/12, 5/12, 6/12, 7/12, 8/12, 9/12, 10/12, 11/12, 12/12
  • NCHI NA WATU

    • Ain Jalut​—Vita Vilivyobadili Mkondo (Wamongolia), 3/12

    • Alpenhorn (Uswisi), 1/12

    • Batiki​—Kitambaa Maridadi cha Indonesia, 6/12

    • Caucasus​—“Mlima Wenye Lugha Nyingi,” 12/12

    • Jiji Lililojengwa kwa Karatasi (Jamhuri ya Cheki), 2/12

    • Kiarabu, Lugha ya Wasomi, 2/12

    • Kombe la Ulaya la 2012​—Tukio la Kihistoria (Poland, Ukrainia), 6/12

    • Ngome ya Terezín (Jamhuri ya Cheki), 3/12

    • Pesa Zina Miguu Minne (Papua New Guinea), 8/12

    • Tunda la Manjano la Armenia, 3/12

    • Wanaweza Kuokolewa Wasitoweke? (New Zealand), 4/12

    SAYANSI

    • Je, Ni Kazi ya Ubuni?1/12, 2/12, 3/12, 4/12, 5/12, 6/12, 7/12, 8/12, 9/12, 10/12, 11/12

    • Kiarabu, Lugha ya Wasomi, 2/12

    • Nyota, 2/12

    • Wataalamu wa Nyota wa Enzi za Kati, 4/12

    • Wataalamu wa Tiba wa Enzi za Kati, 9/12

    • Wataalamu wa Umekanika wa Enzi za Kati, 11/12

    UCHUMI NA KAZI

    • Kuna Faida za Kuwa Mnyoofu? 1/12
  • VIJANA HUULIZA

    • Kukabiliana na Mkazo, 11/12

    • Kwa Nini Nilisema Jambo Hilo? 1/12

    • Kwa Nini Uhudhurie Mikutano ya Kikristo? 4/12

    • Kwa Nini Wazazi Wangu Hawanielewi? 5/12

    • Mfano wa Kuiga, 8/12

    • Mwanamume Halisi, 12/12

    • Ni Vibaya Kuwa Maarufu? 3/12

    • Nifanye Nini Ili Nifurahie Kujifunza Biblia? 2/12

    • Nitazamie Nini Katika Ndoa? 9/12, 10/12

    • Sisi Ni marafiki Tu? 16/12, 7/12

    WANYAMA NA MIMEA

    • Bustani za Wanyama, 9/12

    • Kunguni, 12/12

    • Limau, 9/12

    • Ndege anayeitwa Loon, 11/12

    • Ng’ombe Mwenye Manyoya Mengi, 12/12

    • Pesa Zina Miguu Minne (nguruwe), 8/12

    • Pori la Tasmania, 4/12

    • “Pua ya Ajabu!” (tumbili anayeitwa proboscis), 5/12

    • Sokwe, 10/12

    • Tunda la Manjano la Armenia (aprikoti), 3/12

    • Ua Kubwa Zaidi, 8/12

    • Unapenda Kula Uyoga? 3/12

    • “Wadudu wa Baharini” (kamba-mti), 7/12

    • Wadudu Wanaoliwa, 6/12

    • Wanaweza Kuokolewa Wasitoweke? 4/12