Fahirisi ya Buku la 85 la Amkeni!
Fahirisi ya Buku la 85 la Amkeni!
AFYA NA TIBA
Deni la Usingizi, 2/8
Faida za Kutembea, 2/22
Glakoma—Ugonjwa Unaosababisha Upofu, 10/8
Homa Inayosababishwa na Vumbi, 5/22
Imani ya Familia (vidonda katika utumbo mpana), 5/8
Jinsi Unavyoweza Kuishi Milimani, 3/8
Kiapo cha Hippocrates, 4/22
Kuhangaikia Sura Kupita Kiasi, 7/22
Kukomesha Magonjwa, 5/22
Kunenepa Kupita Kiasi, 11/8
Kutoweza Kuzaa, 9/22
Kwa Nini Tunahitaji Tumaini? 4/22
Magonjwa ya Kihisia, 1/8
Magonjwa Yanayosababishwa na Maziwa, 3/22
Mailyn Atapata Uso Mpya, 5/22
Mtoto Anapoendelea Kulia, 5/8
Ngozi Ni Kama “Ukuta wa Jiji,” 1/8
Ugonjwa Unaporudi Mara ya Pili (polio), 7/22
Ugonjwa wa Akili, 9/8
UKIMWI Utakwisha Lini? 11/22
Vitiligo Ni Nini? 9/22
DINI
Geneva Bible, 8/22
Je, Unajua Jina la Mungu? 1/22
Majengo ya Kale Yenye Jina la Mungu, 1/22
Musa—Mtu Halisi au wa Hadithi? 4/8
MAHUSIANO YA WANADAMU
Baba Wazuri, 8/22
Kubalehe, 7/8
Kuishi Pamoja Bila Kuoana, 11/22
Kupata Marafiki wa Kweli, 12/8
Kusitawisha Tamaa ya Kujifunza, 8/8
Kuuongoza Ulimi, 5/22
Kuwasomea Watoto, 10/22
Mtoto Anapokuwa Mchanga, 10/22
Shule za Watoto Zisizo na Vitu vya Kuchezea, 9/22
Upweke, 6/8
Urembo Ulio Bora Zaidi, 12/22
Usichelewe! 4/8
MAMBO MENGINE
Bia, 7/8
Fataki, 2/8
Idadi ya Watu, Biblia, Wakati Ujao, 5/8
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Jitihada za Kutumia Upepo, 11/22
Jiwe Maridadi, (moldavite) 4/8
Kiwanda cha Kifo (roketi za V-1 na V-2), 12/22
Kupenda Kujifunza, 8/8
Kutua Ghafula! 5/8
Mabadiliko Makubwa (kuchimba migodi), 8/8
Magazeti Yanayowavutia Watu, 8/8
Muziki Unaochezwa kwa Vidole (piano), 7/8
Rekebisha Gari Lako Bila Kujiumiza, 1/8
Safari ya Mwisho ya Ndege ya Concorde, 6/22
Tairi, 6/8
Tamasha Kubwa Zaidi ya Maputo! 3/8
Tumaini, 4/22
Unahitaji Kuwa na Kiasi Unapokusanya Vitu, 12/8
Vitu Bora vya Kuchezea, 8/8
MAONI YA BIBLIA
Je, Amani ya Ulimwengu Itapatikana kwa Mapatano? 1/8
Je, Kuhangaika Kunaonyesha Mtu Hana Imani? 6/8
Je, Mtu Anaweza Kuacha Mazoea Mabaya? 4/8
Je, Mungu Anawajali Watoto? 8/8
Je, Ni Kosa Kunywa Kupita Kiasi? 3/8
Je, Talaka Ndilo Suluhisho? 9/8
Je, Utu Unategemea Damu? 2/8
Jinsi ya Kuepuka Hatari za Intaneti, 12/8
Kichwa cha Familia, 7/8
Kuwalea Watoto Katika Nidhamu ya Mungu, 11/8
Kwa Nini Ndoa Inapaswa Kuonwa Kuwa Takatifu? 5/8
Tunapaswa Kuwatendeaje Wazee? 10/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
“Baraza la Jiji Halipaswi Kupiga Ubwana” (Kanada), 7/8
Eneo la Pekee (Navajo), 1/8
“Hatutaki Kusherehekea Halloween!” (shule huko Ubelgiji), 10/8
Imani ya Familia Yajaribiwa, 5/8
Imani Yajaribiwa (Wafungwa Kumi na Sita wa Richmond), 2/22
“Kila Mtu Anapaswa Kusoma Kitabu Hiki” (Kitabu Mwalimu), 12/8
Kupambana na Mfadhaiko Baada ya Shambulizi la Magaidi (Hispania), 11/8
Kuwahubiria Mbilikimo (Kamerun), 8/22
Mahakama ya Ulaya Yatetea Haki za Mama Mmoja (Ufaransa), 11/22
Makusanyiko ya Wilaya ya “Tembea Pamoja na Mungu,” 5/22, 6/8
Mimi Sivuti Sigara! (shairi la msichana), 5/8
Msamaria Mwema wa Leo, 8/8
Vijana Wanaotetea Imani Yao, 9/8
Wafungwa Walio Huru! (kituo cha kuwaadhibia wafungwa huko Mexico), 10/8
Waliacha Vita na Kuwa Wenye Amani, 9/8
“Zinaeleza Mengi Sana” (picha za vitabu na magazeti), 4/22
MASIMULIZI YA MAISHA
Imeandikwa Kwamba Nitamwona (R. Phillips), 12/22
Kiongozi wa Dini ya Wakickapoo (B. L. White, Sr.), 11/8
Kitu Bora Kuliko Umashuhuri wa Ulimwengu (C. Sinutko), 8/22
Kumfundisha Kristi Kumpenda Mungu (H. Forbes), 4/8
Kwa Nini Naamini Biblia?—Mwanasayansi wa Nyuklia (A. Williams), 1/22
Magumu ya Vita Yalinitayarisha kwa Ajili ya Maisha (E. Krömer), 6/22
Maisha Yangu Katika Sarakasi (J. Smalley), 9/22
Nilifundishwa Kumpenda Mungu Tangu Utotoni (A. Melnik), 10/22
Ugonjwa Unaporudi Mara ya Pili, (J. Meintsma), 7/22
“Yehova, Umenipata!” (N. Lenz), 10/8
MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU
Je, Dunia Yetu Itaokoka? 2/8
Jilinde Dhidi ya Ulaghai, 7/22
Marekebisho, 3/22
Tisho la Nyuklia, 3/8
Ubaguzi, 9/8
Wasichana Wanaopata Mimba, 10/8
NCHI NA WATU
Acinipo—Jiji la Kale (Hispania), 3/8
Amate—Mafunjo ya Mexico, 3/8
Chemchemi za Maji ya Moto za Japan, 1/8
Daraja la Pekee (Kisiwa cha Prince Edward), 7/8
Eneo la Ireland, 3/8
‘Hoteli ya Hali ya Juu’ (Mahema ya Wabedui), 1/22
Janga la Chumvi (Australia), 8/22
Jangwa Lafanywa Kuwa Paradiso (Lithuania), 11/22
Je, Barabara Zote Zilielekea Roma? 11/22
Kisiwa Kilichotokea na Kutoweka (Mediterania), 4/8
Kiwanda cha Kutengeneza Divai cha Moldova, 2/22
Kulibusu Jiwe la Blarney (Ireland), 4/22
Kumbukumbu ya Milki ya Roma (ngome za limes), 6/22
Kupambana na Maji kwa Muda Mrefu (Uholanzi), 10/22
Kutembelea Kisiwa cha Gilasi (Murano, Italia), 5/22
Kuvua Samaki Kwenye Barafu (Ufini), 11/22
Kwa Nini Wamo Hatarini? (wanyama wa India), 10/22
Maisha Katika Vinu vya Czechia, 12/22
Majengo ya Kale Yenye Jina la Mungu (Slovenia), 1/22
Makaburi ya Peru, 4/22
Maporomoko ya Maji (Zambia), 2/22
Marco Polo (Italia, China), 6/8
Marundo ya Mchanga Huko Poland, 3/22
Michezo ya Olimpiki Yarudi Nyumbani (Ugiriki), 8/8
Milima Yenye Marumaru (Italia), 9/22
Mnara wa London, 6/8
Monteverde—Hifadhi ya Viumbe Mawinguni (Kosta Rika), 10/8
Msitu wa Jiji Kuu Uliteketea (Australia), 3/8
Nairobi—“Mahali Penye Maji Baridi” (Kenya), 11/8
Namaqualand (Afrika Kusini), 1/22
Natto—Soya za Pekee za Japani, 9/8
Nyuki wa Carniola (Slovenia), 3/22
Nyumba za Mbao (Slovakia), 2/22
Origami—Ustadi wa Kukunja Karatasi (Japani), 9/22
Paka wa Mwituni (Australia), 2/8
Paradiso Ndogo (Côte d’Ivoire), 9/8
Soko la Samaki Lililo Kubwa Zaidi Ulimwenguni (Japani), 1/22
“Tunapenda Nguo Zetu” (Mexico), 2/8
Umaridadi Mapangoni (mapango ya Slovenia), 10/22
Vazi Rasmi la Korea Linaloitwa Hanbok, 11/8
Wakulima wa Sertão (Brazili), 12/22
Waliokoka Furiko! (Uswisi), 3/22
SAYANSI
Je, Sayansi Inaweza Kukusaidia Umwamini Mungu? 6/22
Kunanyesha Tena? 2/8
Kupima Dunia kwa Kijiti, 6/22
Kwa Nini Naamini Biblia?—Mwanasayansi wa Nyuklia, 1/22
Sukari Ni Muhimu kwa Uhai, 3/22
UCHUMI NA KAZI
Kudhulumiwa Kazini, 5/8
VIJANA HUULIZA
Disko, 4/22
Jamani! Mbona Ananitesa? 5/22
Kuna Ubaya Gani Kunywa Kupita Kiasi? 9/22
Kupata Wakati wa Kufanya Kazi za Shule, 1/22
Kwa Nini Mungu Anaruhusu Tuteseke? 3/22
Ngono Kabla ya Ndoa, 7/22, 8/22
Ngono ya Simu, 2/22
Nifanyeje Aache Kunitesa? 6/22
Nifanyeje Nisipofanikiwa? 11/22
Nitamwambiaje Jinsi Ninavyohisi? 10/22
Vipi Akikataa? 12/22
WANYAMA NA MIMEA
Farasi Wanaocheza Dansi Baharini, 12/22
Huwafaidi Sana Wakulima wa Sertão (mbuzi), 12/22
Je, Kuna Ngamia Huko Andes? 5/8
Je, Wanataka Tu Kujirembesha? (ndege kujisafisha), 4/22
Jinsi ya Kumzoeza Mbwa Wako, 9/8
Kinyonga wa Baharini (pweza), 4/22
“Kito cha Bahari” (diatom), 6/22
Kitunguu, 11/8
Kula Majani Katikati ya Miiba, 7/22
Kusitawi Licha ya Hali Ngumu (ua la Teide violet), 1/8
Kuwatembelea Ndege Waliokuwa Hatarini (cahow), 4/8
Kwa Nini Wamo Hatarini? 10/22
Maridadi Kama Vito (wadudu), 9/22
Maridadi na Matamu (maua), 12/8
Matunda ya Pekee Kutoka Amazoni, 7/22
Maua ya Mung’unye, 7/8
Mbegu Inayosafiri Baharini, 5/22
Mbwa Mdogo Zaidi (Chihuahua), 8/22
Methusela (msonobari wa bristlecone), 3/22
Michikichi Inayotegemezwa kwa Nguzo, 7/22
Mimea Inayoua! 5/8
Mrujuani, 7/8
Mwangaza Unaometameta Baharini, 9/22
Natto—Soya za Pekee za Japani, 9/8
Nyuki wa Carniola (Slovenia), 3/22
Paka Mwenye Masikio ya Ajabu, 5/22
Paka Waliomo Hatarini Zaidi (simba-mangu wa Iberia), 7/22
Paka wa Mwituni, 2/8
Paradiso Ndogo (Côte d’Ivoire), 9/8
Samoni wa Atlantiki Yumo Hatarini, 12/8
Umuhimu wa Mazingira ya Asili, 6/8
Unastahimili Hali Ngumu (mmea wa welwitschia), 3/8
Wanyama-Vipenzi, 2/22