Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Wimbo wa Sulemani

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8

Muhtasari wa Yaliyomo

  • MSICHANA MSHULAMI AKIWA KWENYE KAMBI YA MFALME SULEMANI (1:1–3:5)

    • 1

      • Wimbo wa nyimbo (1)

      • Msichana (2-7)

      • Mabinti wa Yerusalemu (8)

      • Mfalme (9-11)

        • “Tutakutengenezea mapambo ya dhahabu” (11)

      • Msichana (12-14)

        • ‘Mpenzi wangu ni kama mfuko wa manukato ya manemane’ (13)

      • Mchungaji (15)

        • “Wewe ni mrembo, mpenzi wangu”

      • Msichana (16, 17)

        • “Wewe ni mrembo, mpenzi wangu” (16)

    • 2

      • Msichana (1)

        • “Mimi ni ua la zafarani”

      • Mchungaji (2)

        • ‘Mpenzi wangu ni kama yungiyungi’

      • Msichana (3-14)

        • ‘Msiamshe upendo mpaka utakapoamka wenyewe’ (7)

        • Maneno ya mchungaji (10b-14)

          • “Mrembo wangu, njoo twende zetu” (10b, 13)

      • Ndugu za msichana (15)

        • “Tukamatieni mbweha”

      • Msichana (16, 17)

        • “Mpenzi wangu ni wangu mimi, na mimi ni wake” (16)

    • 3

      • Msichana (1-5)

        • ‘Usiku, nilimtafuta ninayempenda’ (1)

  • MSHULAMI AKIWA YERUSALEMU (3:6–8:4)

    • 3

      • Mabinti wa Sayuni (6-11)

        • Maelezo kuhusu msafara wa Sulemani

      • 4 Mchungaji (1-5)

        • “Wewe ni mrembo, mpenzi wangu” (1)

      • Msichana (6)

      • Mchungaji (7-16a)

        • ‘Umeuteka moyo wangu, bibi harusi wangu’ (9)

      • Msichana (16b)

    • 5

      • Mchungaji (1a)

      • Wanawake wa Yerusalemu (1b)

        • ‘Leweni mapenzi!’

      • Msichana (2-8)

        • Asimulia ndoto yake

      • Mabinti wa Yerusalemu (9)

        • “Mpenzi wako ni bora kuliko wapenzi wengine wote jinsi gani?”

      • Msichana (10-16)

        • “Anavutia zaidi miongoni mwa wanaume elfu kumi” (10)

    • 6

      • Mabinti wa Yerusalemu (1)

      • Msichana (2, 3)

        • “Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu mimi” (3)

      • Mfalme (4-10)

        • “Wewe ni mrembo kama Tirsa” (4)

        • Maneno ya wanawake (10)

      • Msichana (11, 12)

      • Mfalme (na wengine) (13a)

      • Msichana (13b)

      • Mfalme (na wengine) (13c) (na wengine)

    • 7

      • Mfalme (1-9a)

        • “Unapendeza sana, ewe msichana mpendwa” (6)

      • Msichana (9b-13)

        • “Mimi ni wa mpenzi wangu, naye ananitamani” (10)

      • 8 Msichana (1-4)

        • “Laiti ungekuwa kama ndugu yangu” (1)

  • MSHULAMI ARUDI, ATHIBITISHA USHIKAMANIFU WAKE (8:5-14)

    • 8

      • Ndugu za msichana (5a)

        • ‘Ni nani huyu anayemwegemea mpenzi wake?’

      • Msichana (5b-7)

        • “Upendo una nguvu kama kifo” (6)

      • Ndugu za msichana (8, 9)

        • “Akiwa ukuta, . . . lakini akiwa mlango, . . .” (9)

      • Msichana (10-12)

        • “Mimi ni ukuta” (10)

      • Mchungaji (13)

        • ‘Acha nisikie sauti yako’

      • Msichana (14)

        • “Kimbia mbio kama swala”