ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 2 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 Kitabu cha Waamuzi Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Ushindi wa kabila la Yuda na la Simeoni (1-20) Wayebusi waendelea kuishi Yerusalemu (21) Yosefu achukua Betheli (22-26) Wakanaani hawakufukuzwa wote (27-36) 2 Onyo kutoka kwa malaika wa Yehova (1-5) Kifo cha Yoshua (6-10) Mungu atuma waamuzi kuwaokoa Waisraeli (11-23) 3 Yehova awajaribu Waisraeli (1-6) Othnieli, mwamuzi wa kwanza (7-11) Mwamuzi Ehudi amuua Mfalme Egloni aliyekuwa mnene (12-30) Mwamuzi Shamgari (31) 4 Mfalme Yabini wa Kanaani awakandamiza Waisraeli (1-3) Nabii wa kike Debora na Mwamuzi Baraka (4-16) Yaeli amuua Sisera mkuu wa jeshi (17-24) 5 Wimbo wa ushindi wa Debora na Baraka (1-31) Nyota zapigana na Sisera (20) Mafuriko ya Mto Kishoni (21) Wanaompenda Yehova wako kama jua (31) 6 Wamidiani wawakandamiza Waisraeli (1-10) Malaika amhakikishia Mwamuzi Gideoni atapata msaada (11-24) Gideoni abomoa madhabahu ya Baali (25-32) Roho ya Mungu yamtia nguvu Gideoni (33-35) Jaribio la manyoya (36-40) 7 Gideoni na wanaume 300 (1-8) Jeshi la Gideoni lawashinda Wamidiani (9-25) “Upanga wa Yehova na wa Gideoni!” (20) Kambi ya Wamidiani yachanganyikiwa (21, 22) 8 Waefraimu wamlalamikia Gideoni (1-3) Wafalme Wamidiani wafuatiliwa na kuuawa (4-21) Gideoni akataa kuwa mfalme (22-27) Historia fupi ya maisha ya Gideoni (28-35) 9 Abimeleki awa mfalme kule Shekemu (1-6) Fumbo la Yothamu (7-21) Utawala wa kikatili wa Abimeleki (22-33) Abimeleki ashambulia Shekemu (34-49) Mwanamke amjeruhi Abimeleki; Abimeleki afa (50-57) 10 Waamuzi Tola na Yairi (1-5) Waisraeli waasi na kutubu (6-16) Waamoni wataka kuwashambulia Waisraeli (17, 18) 11 Mwamuzi Yeftha afukuzwa, baadaye afanywa kuwa kiongozi (1-11) Yeftha azungumza na Waamoni (12-28) Nadhiri ya Yeftha na binti yake (29-40) Maisha ya useja ya binti yake (38-40) 12 Apigana na Waefraimu (1-7) Jaribio la kutamka Shibolethi (6) Waamuzi Ibzani, Eloni, na Abdoni (8-15) 13 Malaika amtembelea Manoa na mke wake (1-23) Samsoni azaliwa (24, 25) 14 Mwamuzi Samsoni atafuta mke Mfilisti (1-4) Roho ya Yehova yamwezesha Samsoni kumuua simba (5-9) Samsoni atega kitendawili kwenye harusi (10-19) Mwanamume mwingine apewa mke wa Samsoni (20) 15 Samsoni alipiza kisasi dhidi ya Wafilisti (1-20) 16 Samsoni akiwa Gaza (1-3) Samsoni na Delila (4-22) Samsoni alipiza kisasi na kufa (23-31) 17 Sanamu za Mika na kuhani wake (1-13) 18 Watu wa kabila la Dani watafuta nchi (1-31) Kuchukuliwa kwa sanamu za Mika na kuhani wake (14-20) Jiji la Laishi lachukuliwa na kuitwa Dani (27-29) Ibada ya sanamu katika jiji la Dani (30, 31) 19 Wabenjamini wabaka katika jiji la Gibea (1-30) 20 Wabenjamini washambuliwa (1-48) 21 Kabila la Wabenjamini laokolewa (1-25) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Waamuzi—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Waamuzi—Yaliyomo Kiswahili Waamuzi—Yaliyomo https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/1add6d1d93/images/syn_placeholder_sqr.png